Tunazindua 1 Desemba
Tunajiandaa kubadilisha huduma ya usafirishaji!
Jisajili sasa kama rider, mfanyabiashara au wakala — kuwa wa kwanza siku ya uzinduzi.
Dar es Salaam
Habari! Karibu M2 Express
Tuma. Fuatilia. Tunafikisha.
Jua bei ya usafiri kabla. Tunachukua, tunasafirisha na kufikisha — ukifuatilia kila hatua.
Mzigo wako umefika wapi?
Safari yako, bei yako
MakadirioTakriban uzito wa mzigo
Unatuma oda za biashara?
JiungeJinsi inavyofanya kazi
1. Weka oda mtandaoni
Jaza taarifa upate bei
2. Tunachukua
Kwako au kwa muuzaji
3. Tunafikisha
Mlangoni au kwa wakala wa karibu
4. Fuatilia na pokea
Fuatilia mzigo, pokea kwa usalama
Tunahudumia Dar es Salaam yote
Ilala • Kinondoni • Ubungo • Temeke • Kigamboni
Huduma Zetu
Tuma Mzigo
Tuma kwa mteja au kwa wakala mahali popote tunapohudumia.
Pokea kwa Wakala
Chukua mzigo wako kwa wakala aliye karibu nawe.
Huduma kwa Wafanyabiashara
Usafirishaji wa oda za wateja wako kutoka Kariakoo na maeneo mengine.
Jiunge na Mtandao wa Wakala
Pata fursa ya mapato kwa kuwa wakala wa M2 Express.
Unauza bidhaa mtandaoni?
Tuma oda nyingi, fuatilia mizigo na usimamie malipo sehemu moja. Bila kuhangaika kutafuta dereva kila mara.
- ✓Mteja analipa usafiri kupitia kiungo cha WhatsApp
- ✓Tuma tena kiungo kwa mteja wakati wowote
- ✓Eneo la duka lako linahifadhiwa — huandiki kila mara
- ✓Oda zote, wateja na malipo sehemu moja
